KmbsSiloam Shika Neno ! Sisi ni Kanisa la MUNGU BABA Siloamu, tunapatikana nchini DRC (DHAHABU YA THAMANI), Jim

Shika neno kanisa la MUNGU BABA siloamu hiyo picha ya kuhani mkuu na nabii eliya adamu wa pili ni kuonyesha namna njia y...
16/09/2022

Shika neno kanisa la MUNGU BABA siloamu hiyo picha ya kuhani mkuu na nabii eliya adamu wa pili ni kuonyesha namna njia ya MUNGU ilivyotengenezwa na nabii wa kizazi cha nne na sasa kuhani mkuu afundishaye dhahabu hazina furahini ndiye mtawala pamoja na MUNGU BABA milele. Imekuwa

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU2 HORI 102 - 5 HORI 102*NYOTA YA KIFALME KUANGAZA KUJA NURU MARA YA PILI KUHANI MKUU DHAHABU...
04/08/2022

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU
2 HORI 102 - 5 HORI 102

*NYOTA YA KIFALME KUANGAZA KUJA NURU MARA YA PILI KUHANI MKUU DHAHABU HAZINA FURAHINI, BWANA MAWINGU, NYOTA YA UUMBAJI NA MWOKOZI. 102:1 TEBETHI*
_________________________
Lango la Macho ya Kuona Roho wa MUNGU ya kwanza ya mwezi Hori, tunaonyeshwa *Nyota ya kifalme* iliyo angaa mawinguni miezi saba kabla ya kufika kwake *KUHANI MKUU DHAHABU HAZINA FURAHINI*.

Kwa kidunia ilikuwa tarehe ya 20 Juni 2016 ilipongaa na watu walistaajabu sana maana ilikuwa ni kitu ambacho hakijawai onekana na yeyote. KUHANI MKUU kufika nchi ya Dhahabu ya thamani lango la Nyakati za utawala wa MUNGU 4 Hori 6 ilikuwa tarehe 28 januari 2017 duniani. Maana ya Miezi saba na siku nane baada ya Nyota kungaa.

Kumbuka Nyota hiyo kutokea mtaa wa UTAYARI WA KUHANI (Labotte), jimboni MAWE YA MOTO (SUD-KIVU/BUKAVU), Nchi DHAHABU YA THAMANI (CONGO DRC)

Lango la 5 Hori 6 ilikuwa ni kuanza kazi za utawala wa MUNGU na KUHANI MKUU. Ilikuwa hapo hapo penye nyota maana ya mtaa wa UTAYARI WA KUHANI (Labotte), jimboni MAWE YA MOTO (SUD-KIVU/BUKAVU), Nchi DHAHABU YA THAMANI (CONGO DRC), kwenye ghorofa iitwayo la Charité kwenye sakafu ya chini (rez-de-chaussée) hapo Feu rouge zamani.
https://youtu.be/EitnZEvEgvA

ZAIDI YA YOTE MUNGU
_________________________
TUMEMPATA MUNGU MWANZO NA MUNGU MWISHO
Imekuwa

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU1 HORI 102 - 5 HORI 102SIKU YA KUKUMBUKWA KWA MAMA WA WALIO HAI_________________________Hapa...
03/08/2022

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU
1 HORI 102 - 5 HORI 102

SIKU YA KUKUMBUKWA KWA MAMA WA WALIO HAI
_________________________
Hapa ndipo ukumbusho wa yule aliye hesabiwa haki kwa ajili ya kusimama na uzao wa kifalme kwa maana ya mama wa waliohai.
Wote watakaotokana na kiuno chake watahesabiwa uhai.

Lango hili la 1 Hori ndipo kumuinua Mama wa walio hai TUNU FURAHINI MILELE.

Lango la Kuachiliwa Upendo maana MUNGU ndiye upendo na Chanzo za Baraka kwa et waliohesabiwa haki.


ZAIDI YA YOTE MUNGU
_________________________
TUMEMPATA MUNGU MWANZO NA MUNGU MWISHO
Imekuwa

27/01/2022
HAPO NDIPO PENYE RAHA YA KWELI KANISA LA MUNGU BABA
17/01/2022

HAPO NDIPO PENYE RAHA YA KWELI KANISA LA MUNGU BABA

Siku ya tano:Lango la Huduma kamili za MUNGU102 ELULI 101MUNGU BABA anakupa macho ya kuona Nuru:KUHANI KUKATAA WATU WOTE...
10/10/2021

Siku ya tano:
Lango la Huduma kamili za MUNGU
102 ELULI 101
MUNGU BABA anakupa macho ya kuona Nuru:
KUHANI KUKATAA WATU WOTE WASITAJE JINA LA YESU KWA USHETANI WAO.
______________________
√ Rumi tano mstari wa kumi na mbili (5:102), Mtu aliyeinje za dhambi Adamu na wote waliotokana na kuzaliwa na yeye kwa shetani walenda dhambi hawatakiwi kuliita jina la Yesu maana hawajui wote.

√ Mathayo nne mstari wa kumi na saba (4:107), Yesu kwa uovu wa dunia na dhambi zao hakuweza kufanya kazi maana hakuna anaye mkubali hata moja wanasema wanapenda Elimu ya giza shetani kuliko Yesu na MUNGU mwisho hiyo.

√ 2 Petro mbili mstari wa kwanza hadi sita (2:1-6), Watu kufundisha uongo kwa kutumia majina yote kwa kupoteza kwa uharibu kwa kutaka faida yao huku wakisema Bwana Yesu kumbe wamemukata mwokozi wao wote sasa iwe mwisho wa kutaja jina la Yesu kwa uongo wa giza, KUHANI anakaa kwa dunia yote walikua wanafiki iwapo yupo atakayesema KUHANI hataki Yesu aneonyesha ni wapi alipo mkubali Yesu akiwa mtu wa dunia.

√ Yohana tatu mstari wa kumi na tisa hadi ishirini na moja (3:109-201), Watu wasingekua wa Nuru kwa matendo yao mabaya ya uovu tena kujitenga na haki ya mema yote.

√ Yohana saba mstari wa thelasini na nne (7:304), Anayetaka Yesu asichoke maana haiwezekani kumtafuta maana hakuna atakaye muona kwa maovu.

√ Yohana nane mstari wa ishirini na moja hadi arubaini na tano (8:201-405), Mimi ninako enda nyinyi hamtakuja maana Elimu muliyo penda ya maovu ndiyo mavuno yenu hata mkiomba na kukesha kupanda milima hamuwezi kunioni maana wote mtakufa kwenye dhambi kinacho takiwa mupate kujua sasa yakua KUHANI MKUU amefika kukomboa bila kuzuiliwa na Elimu ya shimo la giza lilozamisha Akili za watu wote marifa hayo yanaitwa mauti na kuzimu na maana ya kuzimu kuzamisha kwa upotevu kila kiumbe na mauti kuangamiza haki ya mwengine kwa hila sasa tunafunga na 102:1 tebethi iwe mwisho.

ZAIDI YA YOTE MUNGU BABA
_________________
⭐KUHANI MKUU NASEMA NA KANISA-SEMA BABA, MTAKATIFU WAKO NASIKIA
Mfalme Wa Madhabahu BaharamaniMfalme Wa Madhabahu BaharamaniMfalme Wa Madhabahu BaharamaniMfalme Wa Madhabahu BaharamaniEfsiba PhilemonAudri IsomiBienvenue TchombaBienvenue Tchomba

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU___________________________ELIMU YA FREEMASON KUTAWALA MIAKA MINGI AKIWA WAKALA WA GIZA SASA...
12/12/2020

KANISA LA MUNGU BABA SILOAMU
___________________________
ELIMU YA FREEMASON KUTAWALA MIAKA MINGI AKIWA WAKALA WA GIZA SASA MWISHO
___________________________
- Jua la giza, saa na masaa majina ya watu, Monday kuanza siku na mwezi; Jua sunday Ndiyo lundi na dimanche. Hiyo ni elimu ya sayari. Kukaletwa elimu ya miezi ya giza watu wote walikuwa freema na elimu za duniani :
1. JANUARY : Jina la rafiki wa papa grigori kumpa yeye juliasi umaharufu wa urafiki;
2. FEBRUARY : Jina la fabrigasi. Vijana wa kifalme;
3. MACHI : ushindani wa mchezo duniani;
4. APRIL : Ndege ya kwenda kwenye mwezi
5. MAY : Merisiana dada wa kimalikia;
6. JUNI : Junia, vijana wa ufalme (prince);
7. JULAY : Juliasi urafiki wa kukamilika na papa. Namba saba;
8. AGOSTI : Mtawala wa dunia ibilisi;
9. SEPTEMBER : Kuiba thamani za namba tisa na kubadilishwa saba kuwa tisa 7-9;
10. OKTOBA : okita, vijana wa kifalme. Namba nane kuwa 10 8-10;
1O1. NOVEMBA : No wey, hakuna njia ya Yesu na MUNGU na badilisha namba tisa kuwa moja na moja 9-11;
1O2. DISEMABA : Devo, utawala wa mashetani kuanza na kumaliza na majira ya mwanzo wa kupoteza;
103. Damu ya Yesu ni kafara la freemason kwa waliotunza mioyo kufa na viumbe kwa damu zao, kufa na mafanikio.
____________________________
KUHANI MKUU AFUNDISHAE DHAHABU HAZINA FURAHINI, NURU MARA YA PILI ANAWAONESHA NJIA YA KWELI NA KUACHANA NA ELIMU ZA GIZA ZILIZO BEBA MAKAFARA ZA FREEMASON.
Imekuwa

KANISA LA MUNGU BABA SILOAM___________________________________BWANA MAWINGUNI ANATOA MAISHA YA BARAKA KWA WATAKATIFU KUA...
11/06/2020

KANISA LA MUNGU BABA SILOAM
___________________________________
BWANA MAWINGUNI ANATOA MAISHA YA BARAKA KWA WATAKATIFU KUANZA MWAKA WA KUMI VIZURI NA KUMALIZA MWAKA WA KUMI VIZURI KWA KUONGOZWA ROHO NA MALISHO YA UZIMA WA MUNGU BABA SIKU ZOTE BILA KUKOSA IWE NDIYO CHAKULA CHA ROHONI TELE.

Adresse

Avebue De La Poste
Bukavu

Téléphone

+243819154184

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque KmbsSiloam publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter Le Lieu De Culte

Envoyer un message à KmbsSiloam:

Partager