Église Heaven Embassy Mulima Mtakatifu DATCH Ministries

Église Heaven Embassy Mulima Mtakatifu DATCH Ministries Révélations du fonctionnement du royaume de Dieu sur terre autravers Dieu le sacerdoce et les hommes.

05/07/2022
16/04/2022

Haijalishi nini kinachoweza kutukia katika maisha yako ! ,
Juwatu neno moja !!

ya mwenye haki ni mengi SANA !
Lakini ???
humponya nayo, tena ? YOTE.

Jaribu haliwezi kuwapata ninyi,
Isipokuwa lililo katika kawaida ya ;

Iiila ni ;
Hatawaacha kupita mwezavyo;
Kila kinacho kufikia juwa nikya miaka yako ! !
Usi liye liye please !🤔🤔🤔🤔🤔

Juwa hekima hiyi !

Pamoja na lile linalo kupata ?
Mbali na hesabu zako !!
Yeye mwenyewe atafanya na mlango wa kutokea, wakukuokoa , ili pamoja tuweze kustahimili.
Anajua solution iko wapi !!
Usiji teteye SANA usitume sasa banaku wazia niweye !!

Katika kila kinacho tupata tunapaswa kuwa na uhakika kwamba ??
Mungu yuko pamoja nasi na tayari YEYE ana suluhisho.
Bikisha tokea bikisha fikia usi rukeruke !!
Pasteur David Tchibo Datch
Pastor David Tchibo DATCH
Église Heaven Embassy DATCH Ministries

16/04/2022

Adresse

Bukavu

Téléphone

+243898784018

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Église Heaven Embassy Mulima Mtakatifu DATCH Ministries publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager