Nyimbo Za Wokovu

Nyimbo Za Wokovu Nyimbo za wokovu, ni page yenye itasaidia watu kupata nyimbo za wokovu popote walipo. Kwahivi tunaomba mutusaidie na maombi yenu ili tupate maliza website.

Jambo, Jina langu William Muyuku, ninakaa Canada. Siku mingi nilikua nikienda kwenye sherehe mbali, mbali nikaona tunakua na shida sana kupata bitabu vya nyimbo za wokovu ili tumusifu Mungu, na wakati ingine tuna vitabu ila hatujui gisi yakuimba nyimbo. Ndio hapo Mungu akatia mu roho yangu nitengeneze website kusaidia watu kupata nyimbo, kuzi print, nakujua gisi yakuziimba. Ninakaribisha yeyote am

baye anapenda jiunga nasisi kwa maombi wala msaada mwengini wowote akaribiye na Mungu atajitukuza mwenyewe kupitia kazi hii. Mungu awabariki.

Address

Toronto, ON

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyimbo Za Wokovu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Nyimbo Za Wokovu:

Shortcuts

Share